Chui aonekana maeneo ya hospital ya rufaa Iringa usiku

Mtu mdogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
525
826
Katika Hali isiyo ya kawaida usiku wa kuamkia leo maeneo ya wards majira ya saa saba usiku chui mmoja alionekana akiranda randa maeneo ya hospital na alifanikiwa kutoroka baada ya watu kupiga kelele hosptal ipo katikati ya mji kabisa na wala hakuna mbuga jirani

Dunia imeisha
 
Atakuwa Chui John huyo.Maja ana taarifa zake za kuumwa?Maana amefata matibabu mwenyewe.
 
1e139e386c69bea86d123d9aa219c256.jpg
good morning mkuu
 
Back
Top Bottom