Chronic Myeloid Leukemia

ukweli2

Member
Nov 18, 2011
66
52
Habari..
Wanajamvi je kuna mtu yoyote unayemfahamu anatatizo au alikuwa na tatizo la Chronic Myeloid Leukemia?
Naomba uwasiliane na mimi kwa email:shekywasheky@hotmail.com
 
Habari..
Wanajamvi je je kuna mtu yoyote unayemfahamu anatatizo au alikuwa na tatizo la Chronic Myeloid Leukemia?
Naomba uwasiliane na mimi kwa email:shekywasheky@hotmail.com

Mkuu kama umegundua dawa tuambie.Au kama ni swali tu si vibaya ukaliweka wazi kuna watu waweza tusaidia hapa.
 
nataka kukutana nao ili tuanzishe kikundi cha kuwasaidia wengine ambao bado hawajapata huduma au tiba.
 
Kama ni hivyo ni jambo zuri. kama umeshakamilisha taratibu za kuanzisha kikundi kama hicho, nenda hospitali kama ya Ocean road, Muhimbili, KCMC nk. kwanza ukajitambulishe kwa mkuu wa hospitali, then akiridhika atakuunganisha na madaktari wanaowatibu hao wagonjwa, then na wao watakuunganisha na wagonjwa hao na hapo utapata nafasi kuwaeleza azma yako iliyo njema. Ubarikiwe sana.
 
Asante sana mkuu nitafanyaivyo..kwa kuanza nitaanza na ocean roadri
asante kwa ushau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom