mimi siyo bigwa kwa masuala ya it na computer kwa ujumla ila kwa kupekua pekua ni kwamba chrome book ni laptop inayotumia os ya google chrome na applications zake ziko based kwenye browser yake yaani hufanyi installation kwenye computer kama tulivyozoea kwenye windows os, hivyo ili uitumie ni lazima uwe kwenye mtandao, kama upo sehemu yenye spidi nzuri kama dar etc unaweza tumia lakini kama uko mikoani itakuwa vigumu.