mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
umesema?!...alijisahau vipi mkuu tuambizane tujifunze kutokana na makosa...Huyu jamaa ana T.B Ila nae alijisahau saana
Alikula minofu bila kuchemsha sseboumesema?!...alijisahau vipi mkuu tuambizane tujifunze kutokana na makosa...
Same he ndugu natubu kumnunulia kilevi...Alianza mchangani Dodoma(Chamwino),CDA,Polis I,Simba,hadi Taifa stars..Sijui aliyajulia mapenzi na starehe ukubwani..Akaleta umuch know hadi tuliomnunulia gongo gwasa kwa machange akatuona mavi ......Leo yakwapi
Same he ndugu natubu kumnunulia kilevi
...Alianza mchangani Dodoma(Chamwino),CDA,Polis I,Simba,hadi Taifa stars..Sijui aliyajulia mapenzi na starehe ukubwani..Akaleta umuch know hadi tuliomnunulia gongo gwasa kwa machange akatuona mavi ......Leo yakwapi
naskia amefakiri ##breaking news
aisee!!! hebu thibitisha mkuu
Huyu jamaa ana T.B Ila nae alijisahau saana
Kafariki ndio leo saa tatu asubuhi