Christopher Alex anasumbuliwa na nini ?

Christopher Alex anasumbuliwa na nini ?

mmbangifingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
2,839
Reaction score
567
Jana clouds fm kwenye kipindi cha sports xtra nilisikia kama wanamwongelea mchezaji wa zamani christopher alex anaumwa na anahitaji msaada. Ni huyu alex aliyecheza simba wakati flani? Anaumwa nini hasa?
 
...Alianza mchangani Dodoma(Chamwino),CDA,Polis I,Simba,hadi Taifa stars..Sijui aliyajulia mapenzi na starehe ukubwani..Akaleta umuch know hadi tuliomnunulia gongo gwasa kwa machange akatuona mavi ......Leo yakwapi
 
Same he ndugu natubu kumnunulia kilevi
 
Tuwaombee Rehema za Mungu KK,,name kujiombea pia
 
Mpira umemkimbia akiwa bado kijana,sababu Ni kutokuwa na nidhamu ya maisha,amemkuta Samuel Etoo akicheza na amemuacha akicheza...pole kiungo wetu wa kitambo nakumbuka ulipiga penati ya mwisho iliyowatoa Zamarek Cairo...
 
...Alianza mchangani Dodoma(Chamwino),CDA,Polis I,Simba,hadi Taifa stars..Sijui aliyajulia mapenzi na starehe ukubwani..Akaleta umuch know hadi tuliomnunulia gongo gwasa kwa machange akatuona mavi ......Leo yakwapi

hili ndo tatizo la kutokuwa na nidham na unachokifanya... Apumwikhe.. be..
 
Back
Top Bottom