stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Dec 24, 2011 #1 sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas
sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas