Christmas wana Idodomya....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
wale wakuu wa Dodoma tupeane basi codes za pilau. Mi baada ya kutoka church nlienda pale Jacana kupata yale mambo yetu pale then nikaliunga Royal Village kudiba kidogo. Kwa sasa nipo African Dreams nazuga zuga ili nianze kusaka coordinates za pilau!
 
"Yale mambo yetu " sijaelewa hapo
 
Ebo! Wewe ni wa Idodomya kweli afu uwe hujui pale Jacana mambo gani yanaendelea?

kweli kabisa mkuu huwezi kua mkazi wa Idodomya halafu usielewe Jacana kuna swala gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…