Christmas imefika, Magufuli atasali wapi mwaka huu?

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,986
Wanamvi!
Mwaka jana ilikuwa bwana mkubwa akasali huko bukoba ikiwa ni muda mfupi baada ya yeye kutoenda huko na kuamulu fedha za rambirambi za wahanga . Ilipofika kipindi cha xmas kama hiki mkuu akataka kwenda kufanyia ibada husika hko na akataka kama kawaida yake akishasali apewe mic ili atoe ya moyoni kama anavyopenda kuita mwenyewe, hii ilikiwa ni njia ya kujikosha kwa wahanga wa tetemeko.Yule padre/ askofu wa kanisa alotaka kwenda kusali alisimamia msimamo wake kwamba kama anaenda magufuli aende kama muumini wa kawaida tu na wala hatapewa nafasi ya kuhubiri/ kuhutubia kama afanyavyo kila aendapo kanisani. Mpaka inafika tarehe kama hizi msimamo wa kiongozi wa kanisa lile ulikuwa hivyo. Itakumbukwa kiongozi mkubwa haenda kwenye ibada kwa kustukiza bali kwa mipango maalumu ya kiusalama na protokali za raisi.
Kuona hivyo, watu wa kitengo walifanya haraka ili muheshimiwa raisi akasali hapo SINGIDA. Kweli alisali singida ibada ile na alipewa alichokitaka ikiwemo kuhutubia baada ya ibada.
Swali : mwaka huu
 
Ushasema anapoenda kunakiwa kumeshapangwa na wana usalama , hivyo basi hatutakiwi kujua mapema namna hiyo ila wenyewe mpaka sasa washajua Mzee kama atasali basi ni wapi.
 
Story za vijiweni hivi hahaha hakuna mwenye jeuri ya kumvimbia Rais wa nchi.....
 
Yaani umekaa na smartphone yako tu kitandani unataka kujua Raise atasali wapi?
 
Story za vijiweni hivi hahaha hakuna mwenye jeuri ya kumvimbia Rais wa nchi.....
Huyo maghu ni mtu wa kawaida sana asee hana umuhimu wowote . Alikuepo Nyerere anapambana na udongo huko Butiama akaja Mwinyi mzee wa vibinti yupo kwake Masaki , Baadae alikuja Nkapa na ubabe wake ila kwa mkewe Anna alimtuliza kwa vichapo ndondi yote tisa alisogezwa Lushoto katulia kimyaa ! Baadae alikuja Khalfani mzee wa mabinti damu damu muulize RO kuwadi wake jamaa alivokuwa mlafi wa mbunye nae kapumzika Msoga na Mikocheni . Kwahio ata huyo shamba boy atapita tu atarudi kwao kuchunga ng'ombe wake.
 
Tamko? Makanisa yote yalipe kodi!😀😀😀😀🙁🙁🙁🙁🙁
 
Wanamvi!
Mwaka jana ilikuwa bwana mkubwa akasali huko bukoba ikiwa ni muda mfupi baada ya yeye kutoenda huko na kuamulu fedha za rambirambi za wahanga . Ilipofika kipindi cha xmas kama hiki mkuu akataka kwenda kufanyia ibada husika hko na akataka kama kawaida yake akishasali apewe mic ili atoe ya moyoni kama anavyopenda kuita mwenyewe, hii ilikiwa ni njia ya kujikosha kwa wahanga wa tetemeko.Yule padre/ askofu wa kanisa alotaka kwenda kusali alisimamia msimamo wake kwamba kama anaenda magufuli aende kama muumini wa kawaida tu na wala hatapewa nafasi ya kuhubiri/ kuhutubia kama afanyavyo kila aendapo kanisani. Mpaka inafika tarehe kama hizi msimamo wa kiongozi wa kanisa lile ulikuwa hivyo. Itakumbukwa kiongozi mkubwa haenda kwenye ibada kwa kustukiza bali kwa mipango maalumu ya kiusalama na protokali za raisi.
Kuona hivyo, watu wa kitengo walifanya haraka ili muheshimiwa raisi akasali hapo SINGIDA. Kweli alisali singida ibada ile na alipewa alichokitaka ikiwemo kuhutubia baada ya ibada.
Swali : mwaka huu
Kwani akisali au asiposali inakusaidia nini mkuu....
 
napenda sana aende kwa mzee wa kuliamsha dude gwajima
 
Back
Top Bottom