PreGE2025 Christina Shusho: Kujiandikisha na kupata Kadi ya Kupiga Kura ni Uzalendo

PreGE2025 Christina Shusho: Kujiandikisha na kupata Kadi ya Kupiga Kura ni Uzalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi kushiriki katika Uchaguzi kwa njia ya mdomo bali Kadi yako ya Kupiga Kura ndio inafaa na ndio inayotakiwa kutumika."
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema hayo wakati akizungumzia umuhimu wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura, anaongeza "Anaongeza baadhi ya Watu wanachukulia suala hilo la Kupiga Kura ni la Kisiasa tu lakini linakupa nguvu ya kufanya maamuzi yanayoweza kuamua hatma ya maisha yako itakuwaje, nenda kajiandikishe upate nafasi ya kupiga kura na kumchagua kiongozi unayemtaka."

1742821924992.png
 
Unapiga kura CCM ndio wanazihesabu halafu wanakuwekea Viongozi ambao hukuwachagua sasa uzalendo gani huo? Huo ni UJINGA sio Uzalendo.
 
Kupiga kura? Mbona hawazungumzii uchaguzi huru na haki. Ama kweli hili ni taifa la wajinga
 
Back
Top Bottom