Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment
Kila mwanamke ni chizi au tuseme kila mwanamke ana wazimu wake tofauti yake huyo shusho na wake zetu au mama zetu ni kwamba wao hawapo (hawajapata bado nafasi ya kuuonyesha) au hawakuwahi kutaka kuuonyesha huo uwendawazimu wao.
Kila mwanamke ni chizi au tuseme ana wazimu wake tofauti yake huyo shusho na wake zetu au mama zetu ni kwamba wao hawapo (hawajapata bado nafasi ya kuuonyesha) au hawakuwahi kutaka kuuonyesha.