Sasa kwani kukutakia heri kuna tatizo gani?Usikuze mambo!!
Mwambie "You know i dont Miss u anymore and I will NEVER be with you,and Im enjoying my X-Mass without you Kilaza pori"Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
No No Preta.
Sasa siunapotezea tu. . .Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
Du!!mbona hi thread ka inanhusu?
Hata mimi kama inanihusu kuna goma moto nililipotezea nataka nirudi kwa step na ndo nimeanza na cristmass wishes na message za uchokozi, what I like jamiiforum ni mwendo wa a.k.a tu usikute kokutona anamwongelea mkata kiu he he he