Christian social services commission vipi kuhusu mishahara yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christian social services commission vipi kuhusu mishahara yao?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ITE, Aug 4, 2011.

 1. I

  ITE New Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaani vp CHRISTIAN SOCIAL SERVICES COMMISSION mishahara yao
   
 2. N

  Nyabhurebheka Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Zingatia yafuatayo:
  CSSC wana miradi mingi inayofadhiliwa na wafadhili mbalimbali hivyo hata mishahara yao inategemea mradi unafadhiliwa na watu gan USAID, EU n.k. Vile vile mshahara utategemea elimu, uzoefu na jinsi gani utakavyojenga hoja wakati wa kujadili mshahara.
   
Loading...