Chriss Brown sio mtu mzur

pipikijiti

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
309
406
14c40f147720283dd7c449a47b5a7a92.jpg
d21b52e99c47b2b8a334a59ad7a181e1.jpg
 
hapa ndipo huyu jamaa nilikua namuona anazingua.. hivi unampigaje manzi ka huyo
 
Jamani mm mwanaume mpigaji aaa simuwezi hata nimpende vp naachana nae tuuu
 
kiuharisia jamaa amepitia kimoja ya chuo ya karate tena zile za ndani kabisa
 
Jamani mm mwanaume mpigaji aaa simuwezi hata nimpende vp naachana nae tuuu
Mwanamke hapigwi hata kwa upande wa kanga.

Hupigwa kipigo maalum atakachofurahia mwenyewe ndani ya uwanja mdogo.
 
Yani katika wanamziki wangu bora huyu, huwa naonaga nyimbo zake zote kali. Tatizo lake tu utata hajaacha hadi leo.
 
Back
Top Bottom