Chozi la huba

Sipendi mwanamke atokwe na machozi mbele yangu aiseee
 
Anty pola sana ndo ulimwengu ulivo haiwi hata visahani navo vinagombana dada vumelia tuna iko siku ni faraja tuu
 
Sipendi mwanamke atokwe na machozi mbele yangu aiseee
MO11 wengine wasanii wa kufa mtu anakutia hatiani hivihivi nina mifano ya wazi kabisa, wengi wameangamia kwasababu ya chozi
 
Last edited by a moderator:
MO11 wengine wasanii wa kufa mtu anakutia hatiani hivihivi nina mifano ya wazi kabisa, wengi wameangamia kwasababu ya chozi

basi mimi ni mmoja wa wanaoweza kukuhukumu kwa ajili ya chozi la mwanamke
hili nalijua ila yeye halijui angelijua angetumia kama fimbo
 
Last edited by a moderator:
basi mimi ni mmoja wa wanaoweza kukuhukumu kwa ajili ya chozi la mwanamke
hili nalijua ila yeye halijui angelijua angetumia kama fimbo

Mmh haaya bana
 
Nafungua FARAJA CLINIC naomba awe mteja wangu wa kwanza
 
Wanawake wengi ni wazuri kwa chozi la ku act. Kuna mmoja namfahamu anaweza toa chozi ukajaza kikombe cha chai. Kumbe ni hatari,anakudanganya!
 
Wanawake wengi ni wazuri kwa chozi la ku act. Kuna mmoja namfahamu anaweza toa chozi ukajaza kikombe cha chai. Kumbe ni hatari,anakudanganya!

Dakika moja analia hasa , dakika inayofuata ni full vicheko
 
Hapo hata alikuwa na makosa mia sita atasamehewa sijui kwanini niko hivi...
 
Napenda kuact kulia lkn nina machozi ya mbali hatari!!! hata nikijifanya kulia takumbuka misiba yote lkn chozi halitoki
 
Chozi langu utaliona kwenye msiba, ugonjwa na habari ya kusikitisha sio ati nimekasirika utasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…