Chorus 10 bora za muda wote katika bongo flava!!

Baby wajua why- datas & sqeezer
Mimi mmasai - Mr ebbo
Tanga kunani - wagosi wa kaya.
Wanakuita sugu - sugu aka Mr 2.
Habari ndio hiyo - mwana fa feat ay.
Anita - matonya.
Bado nipo - Balozi aka el ambajada.
Msimu kwa msimu - xplastaz.
Ni Mimi - Mr 2
Itikadi zetu - east coast team.
Amani - kwanza unit.
 
Agost 22 - fid -q
Leo ni Leo - east coast team
Taxi bubu - matonya
Mtoto wa geti Kali - inspecta
Sitaki demu - nature.
 
Hawatuwezi beat majan aliitendea haki!!
 
Mkuu hii nyimbo no 2 inaitwaje kama unayo naikubali sana.
 
Mkuu hivi chorus ya barnaba kwenye vice versa umeisikia kweli ,mbona hujaiweka
 
We bitosi wewe - Ras lion
Usiku usiingie - Mr Zuma
Sister sister - Crazy Gk
Elimu Dunia - Daz baba
Njoo - Chege
Mpenzi nnakumaindi - Temba
Twen zetu - Wanaume
Chibechibe - wanaume
Hakuna kulala - Nature
 
1.Nitoke vipi bwana misosi
2.mitungi,blanty mikasi..ngwea
3.Agwelina
4.Ice cream..noorah
5.Hi leo..east cost
 
Swala la chorus kuwa kali ni subjective.kila mtu atakuja na chorus yake hapa.Lakini kuna hii chorus ambayo nadhani itaendelea kutamba kwa muongo mzima. ACHA WAISOME NAMBA EEEE,WAISOME NAMBAAA,FISIEMU MBELE KWA MBELEEE!
 
Wanok nok
Mzee wa busara
Nikusaidiaje
Girlfriend
Alikufa kwa ngoma
Xo
Walivyo Binadamu
hayakua mapenzi
Msafiri - kwanza Unit
Kama zamani
Hawatuwezi
Dingi
Nipe tano

Aisee zipo nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…