hakuna mtu mkali kwenye chorus kama g warawara huyo kiba mnampaisha tu
Ukitaka kuwajua wakali wa chorus bongo we skiliza ngoma zote za mwanaFA... humo utawakuta kina g warawara, alikiba, mandojo&domokaya, jaydee, banana, benpol, inspecta, TID, dullysykes na wengine kibao. Huyu jamaa hakoseagi mtu wa kumshirikisha kwenye chorus zakeally kiba wamuache, japo g warawara anajitahidi.
Hivi hii ngoma ya tutakukumbuka ya gk alimuimbia nani aisee..? Mpaka leo nimeshindwa kujua kabisaNyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.
- Misosi NITOKE VIPI.
- Jina langu - Professor Jay.
- Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
- Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
Mkuu Fanya hima uziweke hizo ngoma bila kusahau nataka demu jay no ft solo na q chief1. Zamani - Q chief ft jide
2. Aseme - Q chief
3. Kazi ipo - TMK ft Q chief
4. Kilio changu - Solo thang ft Q chief
5. Nipo - Mr blue ft Q chief
Kibongo kwa chorus hakuna alikua anamfikia Q chief kwa chorus ingawa nature na jide kidogo walikua wanafatia kwa mbali.
6. Nampenda - Mike T feat nature
7. Bongo dar es salaam - prof jay ft jay de
8. Hatuna kitu - Rich one ft Nature
9. Kwa ubishi na hasira - Squizer ft Nature
Imegoma tu ku-attach hizo ngoma ningewawekea hapa mngekubali
Tutakukumbuka chorus kapiga TIDNyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.
- Misosi NITOKE VIPI.
- Jina langu - Professor Jay.
- Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
- Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
Hivi Juma Nature, ile sauti yake huwa inabeba hisia au ndio usanii wenyewe.Naja - Squeezer ft Nature
Hii ngoma hadi leo naipiga tu
Alimwimbia marehemu D-ROB alikuwa ni msanii wa kwanza unitHivi hii ngoma ya tutakukumbuka ya gk alimuimbia nani aisee..? Mpaka leo nimeshindwa kujua kabisa
Yeah ipo, sikiliza nyumbani ni nyumbani tmk ndo utakubali.... Shiiiibe shiiibe ainabeeeeHivi kuna chorus ya bongo flava iliyowahi kubamba kama "mtoto wa geti kali"ya inspector Haroun
Nyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.
- Misosi NITOKE VIPI.
- Jina langu - Professor Jay.
- Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
- Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
baadhi ya chorus ninazozikubali;
1."ni wewe" ya Hard Mad,
2. "nakshi mrembo" ya Ali Kiba
3. "sitorudi" ya Q jay featured by Joh Makini,
4. "nivumilie" ya Baraka da prince & Ruby
5. "kamwambie" ya Diamond
6. " u drive me crazy" ya Suma Lee
7. "watasema sana" ya Tid
Tafuta Chorus alizopiga Sir "Juma" Nature kuanzia zali la Mentali hakika hautaacha kumuongeza hapokwangu mimi wapiga chorus ambao hawajawahi haribu ni
1: Belle 9
2: Ben pol
3: G Wara wara