kwangu mimi wapiga chorus ambao hawajawahi haribu niToka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!!
Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za kushirikishwa!
Kwangu chorus bora zaid katika bongo flava ni hizi hapa
1. Nampenda-Mike T feat Juma Nature
2. Wanapendana-Mwanafa feat Dully Sykes
3. Sintobadilika-Mike T feat Q chief
4. Wanoknok-Mandojo na Domokaya feat Jay Dee
5. Hawapendi-Jafarai feat Q chief
6. Nimechokwa-Shetta feat Belle 9
7. Mfalme-Mwanafa feat Gnako
8. Alisema-Stamina feat Jux
9. Milele-Godzilla feat Alikiba
10. Kazi yake mola-Madee feat Mandojo na Domokaya
hakuna mtu mkali kwenye chorus kama g warawara huyo kiba mnampaisha tually kiba wamuache, japo g warawara anajitahidi.
G a.k.a chorus killer anajua mbaya ila Kiba fundi.hakuna mtu mkali kwenye chorus kama g warawara huyo kiba mnampaisha tu
Kama sikosei aliyeimba Tutakukumbuka daima milele ni GK, huu mwingine ni wa mheshimiwa TembaNyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kazi imbalances. Bali nazi penda mno.
- Misosi NITOKE VIPI.
- Jina langu - Professor Jay.
- Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
- Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.