Chopa ya kukodi

Chopa ya kukodi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,976
Heshima kwenu wakuu!

Naomba kujua kama kuna mtu au kampuni inayokodisha helicopter (Chopa)
Naomba kujua gharama zake na idadi ya seat.
Chopa inategemewa kutumika kupita juu ya mlima Kilimanjaro,ni vema ikiwa Arusha au Moshi kwa urahisi na kuokoa gharama.

Mawasiliano 0752489529
 
Back
Top Bottom