Chopa ya cuf inafanya fujo uwanjan kwa cdm

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,666
2,179
Jamaa hawa wana matatizo kwani hawaijui ramani?
Kule kwetu lyamba lya mfipa ingepotelea hewani
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,360
Mwametumwa na ccm ili wakiwapiga watafute kisingisio cha kuwakamata tena. Hongera wana cdm wa igunga kwa uvumilivu na kuendeleza amani
 
chiborie

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
491
345
Mwametumwa na ccm ili wakiwapiga watafute kisingisio cha kuwakamata tena. Hongera wana cdm wa igunga kwa uvumilivu na kuendeleza amani

Ndugu yangu, kaa ukijua kua kwa mazingira ya hapa kwetu na hata barani kwa ujumla, fujo huletwa na vyama tawala kwa kutokubali kushindwa! mfano, Zambia kama chama tawala kisingekubali matokeo, damu ingemwagika!
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom