Kati ya zile 4 za CCM zilizoongezwa kuongeza nguvu katka kampeni imepata hitilafu na aliyekuwa anaitumia Mh. Lusinde mbunge wa Mtera ameogopa kupanda tena helicopta hiyo na kuapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni.
Source: Mwananchi gazeti
kwani hayo matakataka wameyatoa wapi? ndio tatizo la wizi na ufisadi ulio kubuhu mpaka wanajiibia wenyewe na kujifisadi wenyewe ona sasa yanawaletea shida.
Kati ya zile 4 za CCM zilizoongezwa kuongeza nguvu katka kampeni imepata hitilafu na aliyekuwa anaitumia Mh. Lusinde mbunge wa Mtera ameogopa kupanda tena helicopta hiyo na kuapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni.
Chanzo: Mwananchi
Na hii takataka CHADEMA waliitoa wapi mpaka kusababisha ajali?kwani hayo matakataka wameyatoa wapi? ndio tatizo la wizi na ufisadi ulio kubuhu mpaka wanajiibia wenyewe na kujifisadi wenyewe ona sasa yanawaletea shida.
Ukawa watakatifu hata mgombea wao mtakatifuuu hana hata dosari hongera sana tena sana wafata mkumbo
Kuna nini ccm na chopa zao