Kongwamaji
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 560
- 145
CCM imekusanya kodi kwa miaka 50.Wamefanya nini?Sisi tunawaonyesha watawala na watanzania kile ambacho tutafanya jinsi ambavyo Mwalimu Nyerere na TANU alivyofanya dhidi ya serikali ya kikoloni
naomba unitajie eneo mojawapo ambalo ccm wamechimba kisima/visima au kujenga barabara kwa kutumia fedha za ccm, ukiishanipatia hili jibu naomba unifafanulie zile 90,000,000/= mwigulu alizochukua bank siku moja kabla ya uchaguzi zimeenda kalenga kuchimba visima vingapi?
tumewafundisha vijana wengi hasa kaskazini kuvuta:mvutaji: ndo maana arusha hamtuwezi.CCM ilichokifanya miaka 50 hukioni, nadhani una matatizo kichwani mwako. Tuambie leo CDM mmenfanya nini kwenye halmashauri mnazoziongoza hapa nchini.
tumewafundisha vijana wengi hasa kaskazini kuvuta:mvutaji: ndo maana arusha hamtuwezi.
cdm tunatakiwa tuonyeshe uchungu wetu juu ya wananchi na uzalendo, tusijilinganishe na ccm, hivyo hizi za kupaisha ndge ewani tungeinvest kwenywe visima vya maji, tungefanikiwa kweli kweli,
tumewafundisha vijana wengi hasa kaskazini kuvuta:mvutaji: ndo maana arusha hamtuwezi.
mkuu hebu tuambie hizo halmashauri zinazoongozwa na CDM nini wamefanya tofauti na serikali ya CCM?
hana hata haja ya kutukanwa, mawazo yake tu na yako ni dhalili tosha, yaani mnajitukan wenyewe.
Km unajua kazi ya upinzani ni kuonesha njia ya utatuzi, unadhani kujenga kisima ni kuonesha au kutatua?
Shida ya watu mlio wengi ni umbumbumbu, mbunge si kazi yake kutumia mshahara wake au fedha za chama chake kujenga kisima, ni fedha za serikali ndio zenye kazi hiyo, akiamua yeye basi katoa msaada.
Kwa akili fupi km zenu, mnadhani barabara hizi zikejengwa na fedha za ccm, si hivyo ni za tanzania
Badala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?
Safi sanaaaaaa good question
CCM ilichokifanya miaka 50 hukioni, nadhani una matatizo kichwani mwako. Tuambie leo CDM mmenfanya nini kwenye halmashauri mnazoziongoza hapa nchini.
Ndugu kuwa na fikra pana nini majukumu ya Halmashauri na Halmashauri inapata fedha kutoka wapi? Hakuna sehemu unapoambiwa Mbunge au Diwani wa Halmashauri anakusanya mapato kwa ajili ya Halmashauri husika, Kutokana na jinsi CCM walivyojipambanua katika Kampeni za Kalenga wameweka wazi nini Hii Serikali ya CCM inachokifanya kwa maeneo ambayo yanaongozwa na Upinzani, Jukumu Hao viongozi wa CDM wanaoongoza hizo Halmashauri ni kufikisha ujumbe kwa Serikali inayokusanya Kodi juu ya mahitaji muhimu katika Halmashauri kupitia Bajeti mbali mbali cha ajabu fedha hazipelekwi na hata pale wafadhiri wanapojitokeza kusaidia Halmashauri mbali mbali miradi hiyo CCM wanaipeleka maeneo ambayo yanaongozwa na wao kitu ambacho si sawa.
CCM ilichokifanya miaka 50 hukioni, nadhani una matatizo kichwani mwako. Tuambie leo CDM mmenfanya nini kwenye halmashauri mnazoziongoza hapa nchini.
we kama uko serious bora uhame chadema uje ccm, hao chadema ni janga la taifa hivi bado hujashitukaga tu? karibu ccm hujachelewa ndugu ygn...huku ccm sio saccos ya mtei ..ni chama kongwe, inajua wajibu wake...na itapeta sana 2015