Kwa macho tu inaonekana hata bila ya kujaribu, wewe hata leo jaribu kuchuchumia usikae kwenye RIM la choo halafu uone maji yatakavyoruka, sasa huyo aliyodandia juu kabisa unategemea nini!
Tena hatari nyingine hapo namba 8 - bora mzigo uwe mgumu kuliko ukiwa laini nina uhakika cheche zitatapakaa kila kona hadi sakafuni