Chooni na RADIO

hahaa.. sasa alikaa mguu pande au mguu sawa?
 
Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya huku nimesimama!"

Kwikwikwi
Mbavu zangu mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…