Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,702
- 3,421
Saiv una malinda bado?Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)
Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6
Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe
Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka
Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa
Ushauri
View attachment 2974630
Dah hawanitakii mema mwenzaoSio Mimi mkuu, ni waja wa dunia hao 🤣😂.
Sema itakuwa hiyo out ndo Wana zungumzia athari zake 😂
Siyapendi na hata ladha yake siikumbukiPunguza kula magimbi mkuu
Yani leo nakunywa maji kama kichaa sema nahofia nikienda toi alafu kutonesha kidondaKunywa maji ya kutosha, kula matunda kama maparachichi na mapapai. Usiwe mvivu kwenda msalani, nenda msalani kila siku hakuna cha privacy binadamu wote tunakunya.
Poa ila mazoezi gani hayoKwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo
NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
Duh mkuu kutafuna tena kumeza vipi?Mtindo wa maisha unaoishi ndio chanzo Cha tatizo, kuondoa tatizo Kwa haraka zaidi kanunue kwanza magnesium vidonge, tafuna vinne Kwa mkupuo, then Kila baada ya massa 2 unatafuna viwili, unaweza ukaharisha mpaka ujisikie Raha, baada ya hapo badili mfumo wa kuishi, acha kula ma ANDAZ usijibane ukihisi haja, tumia na metronidazole pia.
Lipo sema maumivu hamna tena ila jana sio poaSaiv una malinda bado?
Poa leo nitapiga ndizi kwa sanaKwanza apo uliposema hupendelei majani Hilo ndo tatizo mana mboga za majani Zina nyuzinyuzi zinasaidia katika kulainisha chakula inasaidia kuzuia choo kigumu . Chengine ongezea na matunda nayo Yana nyuzi lishe pia na maji mengi kunywa sana tu
Sijazoma uzi wako lakini nakushauri kapime minyoo au jitahidi kufunga kula walau mara 2 kwa wikiWakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)
Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6
Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe
Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka
Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa
Ushauri
View attachment 2974630
hii kitu ya kimba gumu wazee wa upinde haiwatesi ? au ndio mnafurahia leba experienceKwa hali hiyo ukitoka kunya unahisi kinyeo kinadunda kama KITENESI.
Lainisha na mafuta ya nazi, pakaa kinyeo kiwe laini na rojo rojoo, ukienda chooni unatifua tu kimba kama unafyatua matofalii.
Mchawi nazi tu.
Cc Yohimbe bark Poor Brain fundi bishoo
Yani umepitisha kigogo afu unasema lipo?Lipo sema maumivu hamna tena ila jana sio poa
Tamu sana usiombehii kitu ya kimba gumu wazee wa upinde haiwatesi ? au ndio mnafurahia leba experience
Masokoni huko...hata madukaniHainq noma sema hizo karafuu zinauzwa wapi?
Hili nalo neno😀😀Aache kula maandazi sana 😂
Yaani una kipato kidgo alafu unachagua chakula? Na mbaya zaid unajisifu kwamba huli mboga za majani.Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)
Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6
Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe
Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka
Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa
Ushauri
View attachment 2974630
Wewe ni Dr wa nini? mkuuPole Sana mkuu
Ngoja tumualike daktari wa binadamu akupe ushauri mzuri upate mwanga
DR Mambo Jambo
Mkuu karibu utoe neno kijana apate mwanga
Wewe ni Dr wa nini? mkuu
Ndo vitu gani hivyoPsychotherapist
Kufunga tenaSijazoma uzi wako lakini nakushauri kapime minyoo au jitahidi kufunga kula walau mara 2 kwa wiki
Kwamba wewe upinde hiyo mambo kwako haipohii kitu ya kimba gumu wazee wa upinde haiwatesi ? au ndio mnafurahia leba experience
Hahaha Andazi la nazi toka kwa mama mtanga bila hata mate linapitaHili nalo neno😀😀
Pole mkuuWakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa kunakipindi najikuta maokoto jau hivyo napiga mlo mmoja ila nikipata pia najibutua chakula changu ni chips, dagaaa wali au ugali (hivyo ndivyo nakula sana maana sipendi nyama pia sipendi majani)
Nipipopqnga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6
Ila tatizo situation kama hizo napitaga hata siku2 au 3 sometime 6 sijasign na hasa nikifikiria maumivu duh naona bora nijipange kwanza ila nikiinga afe kipa afr beki lazima niliangushe
Nimeleta uzi kwa shida ya leo bwana nimeingia msalani gogo zito hapo sijasign leo siku ya 3 bwana kamua kamua wapi nikasema sitoki kapa oya wadada na wamama shikamooni maana ile ni zaidi ya kuzaq kitu kigumu alafu kinene kama mguu wa mtoto wa miaka 5 oya shida niliyopata siwezi kuwaeleza ila damu ilidondoka (hata mara y mwisho damu zilidondoka matone) kigogo kikagonga sink nikasikiaa koooooo nikasubiri damu ikate nikajisafisha nikatoka
Sasa hapa ndio naomba ushauri kwa mtu mwenye kipato kidogo afanyaje kuepuka hizi hali maana ni majanga hapa nikifikiri kuna siku nitahitajika kurudi kule natamani nisile kabisaaa
Ushauri
View attachment 2974630
Psycho the rapist.Psychotherapist