Chongolo: Jana Lukuvi alienda hospitali, kisha akarudi kazini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge.

Walipouwa maelfu ya watanganyika hawakusikitika, anakuga panya mmoja ndani ya ccm wanaanza makelele! Hivi wanajielewa hawa?!
 
Walipouwa maelfu ya watanganyika hawakusikitika, anakufa panya mmoja ndani ya ccm wanaanza makelele! Hivi wanajielewa hawa?!
 
Inasikitisha, halafu wamekuja na sheria ya zuio la kufunga CCTV kamera majumbani,sasa hata uhalifu ukitokea utajuaje kama watazuia watu kufunga CCTV camera majumbani??
Haitosaidia na haitekelezeki , mtu huwezi kumlazimisha ujue camera za ulinzi kafunga wapi huo hautokuwa ulinzi tena wa nyumbani kwake.
 
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge.

HEh!!.
Kumbe huyu ni waziri?
Kapwaya mnooo
 
Piga makofe mengi kwa Yesu.
Wao waliua watu October 29 wakidhani wenyewe hawatokufa?
 
Hivi ni yule Chongolo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu?
Haya makapi ynazungukia tu humo humo wakati hayana lolote la maana yanalolifanyia taifa.
Ndiyo huyo huyo! Amemfanyia figisu Jah People na uchawa wake wote kule Makambako, akalitwaa jimbo kiulaiini!
 
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge.

Ndio yale ya rais yuko vizuri anapiga kazi, kumbe kashafariki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom