Chondechonde tuikomboe hii nchi

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,514
Reaction score
12,487
Chondechonde naomba tuikomboe hii nchi hata kama ni kwa kuiondoka serikali dhalimu.kwa namna yoyote naomba hii nchi ilindwe isianguke. Hata kama ni kwa kuwaondoa watu waovu tuwaondoe kwa sababu Tanzania ni kubwa kuliko Sisi sote.
 
wapi wewe muoga
 
wapi wewe muoga
Sio uoga udhalimu unaoendelea wa serikali hii na mauaji yaliyotokea Nk kama hatua bora hazitachukuliwa ni suala la muda tu maandamano kutokea lazima hii serikali ya wauaji watuachie Tanzania yetu.na safari hii maandamano yatakuwa mabaya sana.kwanza chuki imejengwa kati ya dini na dini,watu na CCM Nk.
 
Hivi CCM hamna wanaume wa kuwamaliza wahuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…