gwambala Member Joined Mar 10, 2010 Posts 60 Reaction score 2 Oct 5, 2011 #1 samahani wakuu mwenye video au sauti ya sera za mgombea wetu wa igunga kupitia updp awakilishe tafadharini,nimependa zile sera za pawa tila,mpango kutoka yugoslavia na nyinginezo zisizotekelezeka alafu ijadiliwe kwa umakini
samahani wakuu mwenye video au sauti ya sera za mgombea wetu wa igunga kupitia updp awakilishe tafadharini,nimependa zile sera za pawa tila,mpango kutoka yugoslavia na nyinginezo zisizotekelezeka alafu ijadiliwe kwa umakini
kikahe JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 1,350 Reaction score 284 Oct 5, 2011 #2 Wasiliana na clouds wameicheza tena leo! nafikiri hata wengine huku ndani wanayo, subiria
gwambala Member Joined Mar 10, 2010 Posts 60 Reaction score 2 Oct 5, 2011 Thread starter #3 yeah itakuwa nzuri kama tutaipata humu,clouds mlolongo mkuu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,765 Oct 5, 2011 #4 Wasiliana na Kilaza,sorry Kibonde.
gwambala Member Joined Mar 10, 2010 Posts 60 Reaction score 2 Oct 5, 2011 Thread starter #5 mmh kilaza anavyojinanihiuuu sina hakika naye kama atatoa hiyo kitu