Chonde chonde wahusika tuhuma hizi msizipotezee!

Chonde chonde wahusika tuhuma hizi msizipotezee!

Kojo Dowido

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
354
Reaction score
111
Ni tuhuma zilizo tolewa na mwenezi wa CCM huko kwenye mkutano wa kampeni iringa mjini juzi.

Tuhuma hizi zinahusu kuuzwa kwa CHADEMA, na ukituhumiwa kuuza chama inamana umeuza chama, wanachama na wale wote waungao mkono chama.

Sisi wananchi tuna jiuliza kama viongozi na waasisi wa chama wanatuhumiwa katika tuhuma kubwa hivi tena na bei imetajwa, na wanakaa kimya, na wahenga walishasema kimya maana yake... hii maana yake nini?

Viongozi hawa wanapita sehemu mbalimbali kuomba ridhaa ya kuiongoza nchi, tuta wamini vipi kuwa hawatauza nchi na wananchi wake?
 
Mbna arsenal, man u, chesea ziliuzwa na we ukaendelea kuzishabikia ??? Hata hii nchi ilishauzwa kitambo kwa mafisadi ila wanunuzi ufuata katiba
 
Propaganda za ccm hakuna muda mchafu wa kujibu propaganda dhaifu kama hizo
 
Mbna arsenal, man u, chesea ziliuzwa na we ukaendelea kuzishabikia ??? Hata hii nchi ilishauzwa kitambo kwa mafisadi ila wanunuzi ufuata katiba

Hivi chama cha kisiasa unakichukulia kama timu ya mpira? Unaelewa unachokisema kweli?
 
Hiki ni kipindi cha kampeni kwahivyo akili za kusikilizishwa changanya na za kwako. Watanzania wanataka umaskini uondoke na sio sera za kuuza chama
 
Nani alimnunua mwingine,chadema waliomshawishi lowasa au lowasa a? Fikiri kwa makini.
 
Ww ccm unaumizwa na biashra za chadema na nyinyi igeni kama chama chenu kinauzika hehehh
 
Mbona hauulizi twiga na urefu wake alikaaje kwenye kiti na miguu kukunja kwenye ndege huku wewe hata ndege haujawahi kupanda..
 
Unauza chama cha siasa ambacho hakimiliki chochote je ukipewa nchi
 
ni tuhuma zilizo tolewa na mwenezi wa ccm huko kwenye mkutano wa kampeni iringa mjini juzi.

tuhuma hizi zinahusu kuuzwa kwa chadema, na ukituhumiwa kuuza chama inamana umeuza chama, wanachama na wale wote waungao mkono chama.

sisi wananchi tuna jiuliza kama viongozi na waasisi wa chama wanatuhumiwa katika tuhuma kubwa hivi tena na bei imetajwa, na wanakaa kimya, na wahenga walishasema kimya maana yake... hii maana yake nini?

viongozi hawa wanapita sehemu mbalimbali kuomba ridhaa ya kuiongoza nchi, tuta wamini vipi kuwa hawatauza nchi na wananchi wake?
Acha mbwembwe bana....!! Kwani wewe una shida na swala la kuuzwa!? Hapo ulipo umeshauzwa na bado unadaiwa (rejea deni la taifa). Hebu mkokotoleeni huyu jamaa ajue yeye binafsi anadaiwa kiasi gani. Halafu kibaya zaidi ukiuzwa, biashara ni siri Kati ya muuzaji na mteja. Wewe huwezi kujua bei. Ila juzi jamaa yenu karopoka na kutoa siri........jamaa wa China watatumia miaka Saba kutafiti kama wataweza kupata chochote. Kwahiyo wewe bwana swala la kuuzwa halikuumizi kichwa. Wewe kinachokuumiza kichwa ni.......unauzwa na nani. Watu kama wewe wapo wengi tu.......ukikanyagwa na mzungu unacheka. Ukinyagwa na mmatumbi timbwili lake si la kitoto. Sometimes siasa za majitaka unazikaushia tu mkuu wangu.
 
Mbona ccm iliuzwa hata kabla ya kifo cha mwalimu ila hadi sasa unaishabikia
 
Back
Top Bottom