Kuroroma na kutetemeka kla sku ktk mindao ya kjamii kumshambulia lawasa kuwa hafai kuwa rais twambieni anae faa nani? Mbona hamsemi nani zaidi ya lowasa. ? Lakin Mbona watoa hoja wote ni wale aidha ana madaraka ndani serikalini au ni mpambe wa mgombea? Je huo si uwoga au hofu ya kushindwa mgombea wako?au hofu kuwa jamaa akipata utakosa ulaji? Lowasa alijiuzulu u wazri kwa maana kuwa mchakoto wa manunuzi ktk kuleta mradi wa umeme Richmond haukufuatwa hilo tu limeandikwa zaidi miaka saba 7 . ksa lowasa a na gombea. Mbona sakata la escrow la juzi tu wa huska wa sakata hilo ambao pia ni wagombea hawasemwi vibaya kuna nin kwa lowasa twambieni, Lakini kumbukeni Zuma, Kenyata buhari nk walisemwa sana jiulize ni nani ktk nchi zao. Acha wivu msifie mgombea wako .
.
.
.
.