Kuroroma na kutetemeka kla sku ktk mindao ya kjamii kumshambulia lawasa kuwa hafai kuwa rais twambieni anae faa nani? Mbona hamsemi nani zaidi ya lowasa. ? Lakin Mbona watoa hoja wote ni wale aidha anamadaraka serikalini au ni mpambe wa mgombea? Je huo si uwoga au hofu ya kushindwa mgombea wako? Lowasa alijiuzulu kwa mada kuwa mchakoto wa manunuzi ktk kuleta mradi wa umeme Richmond haukufuatwa hilo tu limeandikwa zaidi miaka saba 7 sasa ksa lowasa a na gombea. Mbona sakata la escrow la juzi tu wa huska wa sakata hilo ambao pia ni wagombea hawasemwi vibaya kuna nin kwa lowasa twambieni
.
.