Chonde chonde mliopo vyuoni!!

Chonde chonde mliopo vyuoni!!

Tena wengine hata aina ya mjengo na usafiri huwa wanaplan mapema... Hata MIMI kabla sijarudi uraiani nlichokuwa nakiwaza ni Rav4 L new model na mjengo wa ghorofa moja bt tangia nimeingia uraiani nafikiria ni jinsi gani nitamanage matumizi yangu kusudi niweze ku-save pesa nipate mtaji niwe mjasiriamali!...Ni kweli,nawaonea huruma sana wadogo zetu huko vyuoni. Mkuu Zyamwelele ulichokiandika ni ukweli 100%


Mkuu nashukuru kwakulitambua hili na kukuri kwamba nawewe ni miongoni mwa watu waliokuwa na matarajio makubwa.
Ila hapa kuna kitu nimegundua kuna watu hii kamba imewagusa ingawa hawakulengwa wao' walengwa wa hii ni wanfunzi, mliopo kazini hata kama ni kwaconnection hongera zenu maana ujanja kupata' nanyie mlitumia hiyo kama competetive advantage.
 
ujumbe umefika, tatizo ni mawazo baadae kasumba gafla inakuwa tabia na hata akiajiriwa hawezi kuwa mzalendo mtu kama huyo maana mawazo yake ni hapa tu sio na pale................ mwisho naye anajifunza ufisadi kwa kuiga viongozi wa sasa.

Tena wengine hata aina ya mjengo na usafiri huwa wanaplan mapema...
Hata MIMI kabla sijarudi uraiani nlichokuwa nakiwaza ni Rav4 L new model na mjengo wa ghorofa moja bt tangia nimeingia uraiani nafikiria ni jinsi gani nitamanage matumizi yangu kusudi niweze ku-save pesa nipate mtaji niwe mjasiriamali!...Ni kweli,nawaonea huruma sana wadogo zetu huko vyuoni.
Mkuu Zyamwelele ulichokiandika ni ukweli 100%
 
Back
Top Bottom