mkandumbwe
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 424
- 371
Kipindi cha sukari ulisema bei angalizi iwe 1600/= lakini mpaka leo kilo 2400/= umekaa kimya vipi yamekushinda ama ulidhani kila sehemu ni siasa mkulu?
Chonde chonde ni hili la unga usitie tena siasa. Kilo moja imeshafika 1800/= na bado bei inapamba moto kama moto wa kifuu.
Heri nusu shari kuliko shari kamili kwani mkulu ukisema kuna njala kuna ubaya au mpka kilo ya unga ifike 2500 utoe tena matamko?