Kujumua ndo nini?
Kumbeee, unajua mimi nimezaliwa na kukulia mbeya japo asili yangu ni kanda ya ziwa, nimekua nikisikia tu kujumua na nikaitumia ivo ivo but sikujua kama hili neno halitumiki sehemu zingine.kujumua nimeisikia mbeya hii
kujumua nimeisikia mbeya hii
Kumbeee, unajua mimi nimezaliwa na kukulia mbeya japo asili yangu ni kanda ya ziwa, nimekua nikisikia tu kujumua na nikaitumia ivo ivo but sikujua kama hili neno halitumiki sehemu zingine.
Hivi unajua mkoani mbeya mundu inaitwa nyengo,gumboots zinaitwa majombo!?