Chombo cha kubeba maziwa

Chombo cha kubeba maziwa

complex31

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
578
Reaction score
1,729
Habari za huku, naombeni msaada kwa anaejua haya yanauzwa wapi na bei zake zikoje kwa walioko Dar es Salaam. Yanatumika kwenye kubeba maziwa fresh.
IMG_7667.jpg
 
Duuuu umenikumbusha enzi za zamani, Kariakoo sidhani kama yatakosekana sina uhakika sana.
 
Yeah. Hayaruhusu joto kuharibu maziwa pia hayana contamination kuhatibu maziwa. Tazama hata mbele mitungi wanayobebea maziwa kutoka sehemu ya kukamulia plus matank ya magari ya maziwa.

Yote ni aluminum.....
Asante.. sasa nimeelewa
 
Kituo cha mwendokasi cha Kisutu maeneo hayo kuna mhindi anauza, huwa anauza na pump za maji pia.
 
Nenda maduka makubwa yanayouza bidhaa za kilimo ndio yanapopatikana, zamani ilikuwa yanapatikana katika maduka ya TFA
 
Back
Top Bottom