Chombezo la Usiku huu!!

Chombezo la Usiku huu!!

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habarini za usiku wapenzi!! Poleni na majukumu ya siku nzima na shughuli za hapa na pale!! Ni mimi mtoto yenu Momfay mke ya mfalme wangu Arovera !!. nikijiandaa kuwaletea chombezo la mda huu japo leo sipo sawa lakini nimeona ni vyema nisilale kabla sijaongea kidogo na wapenzi wangu!!

Usiku huu ntaongelea USAFI
Wote tunatambua neno usafi lina maana gani ..na umuhimu wake kwetu!! Sasa basi linaingia vipi kwenye mapenzi au wapenzi waishio na wasioishi pamoja!!
Kwa wasioishi pamoja lakini ni wapenzi au wachumba!! Hakuna mwanaume anaependa mke mchafu vilevile mwanamke hapendi mme mchafu!! Mara nyingi mnapokuwa wote hlf wasafi inavutia kwakweli..mnapendeza hata mnapokutana faragha mwenzi hakuchoki haoni kinyaa kukulamba hivi au kukufanya vile kwasababu ya usafi na unanukia.

Napokuja kwa wanandoa hapa nitaongea kwa upana kidogo na zaidi ntamgusia mwanamke. Mke unatakiwa usimame nyumba yako iwe safi!! Hii ni pamoja na familia yako akiwemo mmeo...anapoenda kazini akiwa msafi wala hutosikia neno pengine uaifiwe lkn akiwa ovyo nguo hazinyooshwi maneno na sifa mbaya utapewa wewe,hukawii kusikia....
"Anaringia nini mmewe mwenyewe anatoka ndani mchafu!! Asubuhi kama jioni bwana haeleweki anaenda au anarudi!"
Lawama kwako!!
Na pia mwanaume anavutiwa na sehemu safi iliyotengenezwa na wewe mkewe!!
Pia kwenye jambo hili hili la usafi linafika
hadi chumbani kitandani kwako! Tendo lenyewe!! Na imani huku wote wakubwa na tunajua jinsi ya kusafisha uke!! Zaidi tuongelee jukwaa pendwa kitandani na chumba kwa ujumla... tunaanza na rangi!! Na imani unajua mme wako ama mpenzi wako anapenda rangi gani..yapo mashuka ya kila rangi pia kuna bulb za rangi!! Tujifunze kuwa wabunifu kwa wenzi wetu!! Pia wapo wanaopenda udi ukiufuka ndani pamoja na kwenye tunda lake inapendeza zaidi!! Na vilevile wapo wapendao marashi wewe utakuwa unamtambua vyema mwenzi wako anapendezwa na nini zaidi,chunga harufu isiwe kali ikamkera!!
Mdekeze mmeo sehemu safi kwa maneno matamu ayapendayo...usichoke kumuimbia unampenda huku unamchezea mgongoni mengine mie simoooooooo......

Niwatakie usiku mwema.
Arovera hubbito wangu nyongo mkalia ini sogea tulaleeeee.........
 
Last edited by a moderator:

Tuliopigwa vibuti tulie tu thread kama hizi zinatunyong'onyeza kabisa
 
Last edited by a moderator:
nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako

Hili tangazo ingekuw vizur ukalianzishia thread kulee kweny jukwaa la matangazo madogo madogo
 
nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako
Hawa samaki zako unaouza kwa 10k, kwani kilo beigani? Nataka kilo 3 nibadilishe menu nyumbani?
 
Unaongea mambo makubwa sana..ambayo mtu akiangalia kwa jicho la tatu ndo ataona
 
Back
Top Bottom