Choice FM 102.5 mbona hakuna vipindi?

Choice FM 102.5 mbona hakuna vipindi?

Kisumbo

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
52
Reaction score
12
Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened?
 
hapo kutakuwa na matatizo ya mitambo tu..inatokeaga mbona, watarudi tuu
 
Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened?

Kwa sasa wafanyakazi na watangazaji wote wa Choice fm wamekwenda likizo ya muda mfupi.

Watarejea baada ya siku kadhaa, ili kupisha mabadiliko ya masafa ( frequency) na mtindo mpya wa kurusha matangazo yao.

Endelea kusikiliza muziki bila kuchoka mpaka utakapotangaziwa upya.
 
Unataka vipindi uvipeleke wapo?

Wanataka kubadili mfumo ili wakimbizane na moto wa EFM 93.7 Dar es Salaam.
 
Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened?

hata mimi nimejiuliza sana, asubuhi nimezoea kuwasikiliza EVANS na BABY jioni V-MONEY sasa ni muziki tu kwa kwenda mbele.....ingawa na-enjoy sana miziki yao!
 
Back
Top Bottom