Chochote kibaya kikimtokea Ibrahim Traore patachimbika

Mapinduzi aliyoyafanya ni ya haki na halali Kwa kuwaondoa mafedhuli na wakoloni weusi Kwa mustakabal thabit wa Burkina Faso na Africa Kwa jumla kwa kupanuo wigo Mpana wa maendeleo Katika Nyanja mbalimbali.

Fake P

Nyau de adriz
Ibra katanua wigo vilivyo umenusa wapi siku zake zinahesabika. Nipanulie wigo Mpana. Nimeng'enye hili swala. adriz atakupeleka the Hague.
 
Natoa Onyo Kali Kwa maadui wa kipenzi chetu cha dhati ndugu Ibrahim Traoure Rais wa Burkina Faso The son of Africa.

Endapo chochote kibaya kitamtokea bwana mdogo hata mkwaruzo tu patachimbika na ndio mwisho wa ubepari duniani.

Narudia tena ole wao wale wanamtamania mabaya kijana wetu kipenzi Ibrahimu. Wale wote wanataka kumdhuru na wale wote wanataka kumkwamisha katika harakati zake sahihi (just cause) kaeni mkijua patachimbika na mtajuta kuzaliwa.

Namtakia heri, afya njema na maisha marefu the son of Africa Ibrahim Traoure. Na asiwe na hofu na tena alale tu mlango wazi kwani Sisi vijana tuko Radhi kufa kumlinda.

Sasa Kayngay yoyote athubutu aonje ladha ya maumivu.

Senior JF/JA staunch and die hard supporter of Ibrahim Traoure

Nyau de adriz
Nani atapachimba? Patachimbika dhidi ya nani? Na ni wapi halo pa taka lo him bola?
 
IMEANDIKWA!;
👇👇
Zaburi 127
1 Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Unafiki mtupu huyo traore ni kibaraka wa urusi mtumwa tu kama wengine jiongeze kiazi wewe
Tena Heri ya mabepari westerners wanakula wakiwa wamenawa kuliko bepari mrusi anakula bila kunawa!
Russia alimuuzia Ndege vita iddi Amini!
Sisi alituuzia ant aircraft missile!
Tulipo ishiwa mabomu ya heat seeking missile's!; mrussi alikataa kutuuzia mabomu Hadi Kwa Hard cash au Mikataba migumu Kwa dhamana ya Mali Asili!
Huku Ndege vita za iddi Amini zinatamba Hadi Mwanza Visiwa vya Saa nane!
Lengo lake lilikuwa vita yetu na Uganda iwe Endelevu Ili auze silaha zake!
Kukosa Hekima ya J.K.Nyerere Kuomba msaada wa hayo mabomu Msumbiji na Algeria!; Ile vita ingekuwa ni simulizi nyingine!😇😭
Hiyo Ilinikera Hadi Sasa kuichukia Russia.
Rejea hata yaliyo mkuta Comred.. Samora Moses Machel......
 
Magu dikteta uchwara Tu. Kalamba trillion kadhaa na kuziacha. Hela Tu za makinikia waligawana na kina kabud na zingine kuzitapanya Kwa mahawara.

Hana lolote marehemu Yani kule kuruka ruka hapa na pale kama swala na kufokafoka basi mapoyoyo mkamuona bonge la Rais.

Nyau de adriz
Alikula na mahawara lakini kilichobaki alijenga, ndio maana unaona madaraja etc
 
Natoa Onyo Kali Kwa maadui wa kipenzi chetu cha dhati ndugu Ibrahim Traoure Rais wa Burkina Faso The son of Africa.

Endapo chochote kibaya kitamtokea bwana mdogo hata mkwaruzo tu patachimbika na ndio mwisho wa ubepari duniani.

Narudia tena ole wao wale wanamtamania mabaya kijana wetu kipenzi Ibrahimu. Wale wote wanataka kumdhuru na wale wote wanataka kumkwamisha katika harakati zake sahihi (just cause) kaeni mkijua patachimbika na mtajuta kuzaliwa.

Namtakia heri, afya njema na maisha marefu the son of Africa Ibrahim Traoure. Na asiwe na hofu na tena alale tu mlango wazi kwani Sisi vijana tuko Radhi kufa kumlinda.

Sasa Kayngay yoyote athubutu aonje ladha ya maumivu.

Senior JF/JA staunch and die hard supporter of Ibrahim Traoure

Nyau de adriz
Kwenu yamewashinda, wabongo kwa mdomo na kurukia mambo ya watu ndio hamjambo
 
Natoa Onyo Kali Kwa maadui wa kipenzi chetu cha dhati ndugu Ibrahim Traoure Rais wa Burkina Faso The son of Africa.

Endapo chochote kibaya kitamtokea bwana mdogo hata mkwaruzo tu patachimbika na ndio mwisho wa ubepari duniani.

Narudia tena ole wao wale wanamtamania mabaya kijana wetu kipenzi Ibrahimu. Wale wote wanataka kumdhuru na wale wote wanataka kumkwamisha katika harakati zake sahihi (just cause) kaeni mkijua patachimbika na mtajuta kuzaliwa.

Namtakia heri, afya njema na maisha marefu the son of Africa Ibrahim Traoure. Na asiwe na hofu na tena alale tu mlango wazi kwani Sisi vijana tuko Radhi kufa kumlinda.

Sasa Kayngay yoyote athubutu aonje ladha ya maumivu.

Senior JF/JA staunch and die hard supporter of Ibrahim Traoure

Nyau de adriz
kama afrika ikija kuwa united state of africa yeye anafaa kuwa raisi
 
Back
Top Bottom