Kaptula la max
Member
- Dec 18, 2019
- 73
- 135
Nanukuu,
Eti, oh, imenyesha juzi tu Maji sio mengi, nisubirini kule
lishindikana vipi kuyapima maji kwa mti, ndio mkawaambia watu wavuke?
Mjomba, binadamu ni kama ganda la kitabu, mpaka umfungue maandishi ndio uweze kumuelewa
Eti, lililotokea mbali tufanye limepita tunaomba samahani, na haliwezi kumdhuru mwingine Kweli?
Inayotaka kunyesha, hua haisubiri mawingu,
Mimi sidhani, kama kujiponya kwa mambo mzito tunahitaji cheti kilichigongwa mhuri wa moto Au mtaalamu wa magonjwa ya akili, zaidi yakutumia neno sahau tu,
Unawaulizaje watu magongo ya nini wakati umesema kuna nyoka?
Mjomba, wewe si uliwapaka wanja?
Ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kimbolela iwe zamu yako kuzinga
CHOCHEA tu unachotaka kitatokea.