'Chocheeni kuni mbichi moto ukolee......
Unawaulizaje watu magongo ya ni nini wakati umesema kuna nyoka?
Mjomba wewe uliwapaka wanja, ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga....."

haende shule ya ushairi au aache mziki akauze mabazee mziki ushamshinda mrisho hana jipya kila siku mjomba mjomba...wakati Irene Sanga na Mzee Mgunga wanamuandikia nyimbo kwenye album ya kwanza alidhani lahisi sasa ndio ajifunze kuheshimu waliomsaidia sio kujifanya anaandika mwenyewe na matusi juu.