PART 3>>.
Well tumeingia shuleni pale na kabla ya yote tunakutanishwa na pisi hizo zenyewe kwanza kwa madai waliyotoa walimu kuwa eti tufahamiane...!
Wangejua kuwa wanawakabidhi fisi kama
KENZY ,
Zero IQ , bila kulisahau jamaa la kuitwa
Kichwa Kichafu hawa japokuwa ni wanangu ila.kwa nyeto walisifika bweni zima na Leo wameletewa pisi what luck..!
Tunapokutanishwa nao mabinti hao shombe shombe na wengi wao wakishua ama kama tulivyoita enzi hizo "watoto wa geti Kali"..
Ghafla namuona mrembo kanigusa began ..! Nageuka nikijua bahati mbaya .nakutana na sauti nyororo ya kumtoa mzee snake pangoni...
" excuse me.boy, can you lend a pen?"
Japo mkulungwa kizungu change cha kuunga ila apo nilielewa kabisa .
Ubaya hiyo peni mm sina I think wakulungwa wote tuliokuja hapo hatuna pen..!
Jitu kama
KENZY ,
BAK ,
Behaviourist ,
trouble maker ,
Mla Bata ,
rikiboy yanapata peni wapi kwa mfano...??
Well ikabid nifanye kiungwana kuji search search kisha nabonga kimombo cha kayumba yetu ya ugali maharage..
"Uuhm I think my is lost.."
Anacheeeka mwenyewe yule.mrembo, kisha nagundua ana mwanya kiasi..na ndo pigo zangu ..
"Oyaa wewe mbuzi twende uwanjani muda wa mechi huu" shit alikuwa ni huyu fala wa kuitwa
Da'Vinci ..huwa Mara zote ananiharibia sijui nimemkoseaga nini huyu nyau..
Na nilivo fala nikaondoka bila hata kuuliza jina la mrembo yule.matata na kwenda uwanjan kisha warembo hao nao kuongoza uwanjani kushuhudia namna kina .
hearly wanavyosakata kabumbu
Tulieni basi ndo tumeanza vihere here sio vizuri..
Part4..