djpromis Member Joined Jul 14, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Aug 23, 2012 #1 Chizi alipanda juu ya mwembe asubuhi, akakaa juu hadi jioni kisha akajiangusha, daktari wa machizi akamuuliza mbona umejiangusha? Chizi akajibu " nimeiva!
Chizi alipanda juu ya mwembe asubuhi, akakaa juu hadi jioni kisha akajiangusha, daktari wa machizi akamuuliza mbona umejiangusha? Chizi akajibu " nimeiva!