Chizi kapelekwa hospitali,...!!!

Chizi kapelekwa hospitali,...!!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
747
Chizi mmoja kapelekwa hospitali.
Dr:Una tatizo gani?
Chizi: Nikilala hua naota nyani wanacheza mpira.
Dr:Itabidi nikupe dawa ili usiote tena.
Chizi:Labda unipe kesho maana leo ndio wanacheza fainali!!:A S 39:
 
Dr. anataka kuharibu lingi tena!! hahahahhaaa
 
hata mm nisingekubali anipe dose kabla ya fainali.
 
hihiihihhi nafaaa jamani chizi noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
thats cool meen,nadhani chizi atakuwa shabiki wa arsenal au Man U
 
Back
Top Bottom