King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,852
- 95,065
Safi jamaa namkubali
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Safi jamaa namkubali
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Unaukubali na unga anaobwia?
Sometimes mateja ni watu a kuhurumiwa na si kuwabeza na kuwacheka kwani ukweli ni kwamba wanatamani kuacha lakini si rahisi kama unavyovikiria wewe. Wengi wamebaki kuwa victims of drug-lords wanaojitajirisha kwa kuuwa vijana bila huruma.
Na sababu zinazowafanya watu kuingia kwenye drug use ziko tofauti, wala usije na comment kwamba ni mambo ya kujitakia. Siku mdogo wako au mwanao akifikia hatua ya kuwa addicted ndo utajua.
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto....mtu yoyote anaweza ingia katika kundi hilo asipokuwa mwangalifu kuna watu madaktari, wasomi, wengine kwenye familia bora wanatumia hiyo kitu baada ya kujiingiza kikubwa ni kuombaa uepukane nayo na yasikupate kabisa madudu hayo.....Mimi naamini ujinga wa kuiga kila kitu ndio huingiza watu kwenye uteja!..mateja wameingia huko kwa ujinga wa kuacha mambo ya maana na kuendekeza starehe za kipuuzi. Wewe amini vinginevyo sikulazimishi
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto....mtu yoyote anaweza ingia katika kundi hilo asipokuwa mwangalifu kuna watu madaktari, wasomi, wengine kwenye familia bora wanatumia hiyo kitu baada ya kujiingiza kikubwa ni kuombaa uepukane nayo na yasikupate kabisa madudu hayo.....
Huyu jamaa hata maeneo ya Daraja Mbili hapa A-Town hatakiwi kuonekana kwa tabia zake za udokozi wa vitasa vya milango ya magari pamoja Site Mirrow! Hakuna kitu mbaya uvute bangi halafu huna hela ya kula!