chitchat haiwahuuuu!!!!!

Erickb52 yani hata kunipa taarifa kuna wachambia kokoto wametoa kashfa humu omba basi hata mods waifungue kwa dakika tatu nipate kurusha bomu la machozi.
mke wangu The secretary embu shusha chandarua tulale.
 
Last edited by a moderator:
Dah Just wasted 10min of my life reading this cr.ap .. napita..

ahahahhahahhahhahahha mtakoma sana CC!kama inawakera kiasi hiki huwa mnapita kufanya nini huku!
au ndo yale yale mi sikujua kuwa huu ndo mlango wa huku!?amsbnmjhsdcnsdjsfnbws]fsbfiuwfkwfiuwefwehfuiwedwifwdfwuwdisdcbsdnsddgsc zako!
 
Lazima na mimi nilipuke,ili ukiona mtu tall,na mhunk,anakuja kwa siti yako kukunyanyua ati mkadance, ujue ni mimi...
ndaga baba, uchunge lakini! Asprin atakuwa na AK47! shaurilo, mie simooooooooo! ila mwanaume kujiamini, achana na hao wach.mbi.a ----- wasiojua kati ya bahari kuna nini!!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hizo hasira najua zinatokana na nini, pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaaaaa......weee jamaaa wewe.....
Mdogo mdogo chalii angu. Shhiiiiiiii!!!

Kikazi zaidi.....

Kazi na dawa.:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Mungu awasamehe kwa sababu hamjui muyasemayo nyie hamjui kuwa kuna wazawa wa chitchat haya endeleeni kutupanga list mtachoka wenyewe hasa wewe amu
 
Last edited by a moderator:
Mungu awasamehe kwa sababu hamjui muyasemayo nyie hamjui kuwa kuna wazawa wa chitchat haya endeleeni kutupanga list mtachoka wenyewe hasa wewe amu

excuse me???umendika nini hapa??sijaelewa???
Nifafanulie atiii...
Tunachimbana au?????
 
Last edited by a moderator:
leo Bishanga umetokelezea leo nakupa mkumbato suluhisho wakianzisha kathread kao ni kuchakachua mpaka basi.

Nikupendejeeee,
Ewe wangu ili ujue nakupenda?
Mawazo yangu kila siku juu yako
Ewe The secretary!
Sosi: mbaraka mwinshehe mwaruka,RIP
 
Last edited by a moderator:
ndaga baba, uchunge lakini! Asprin atakuwa na AK47! shaurilo, mie simooooooooo! ila mwanaume kujiamini, achana na hao wach.mbi.a ----- wasiojua kati ya bahari kuna nini!!

Mambo cacico? Naomba uninunulie bukta ya kuja nayo white patii.
 
Last edited by a moderator:
hayo mambo yenu ya kutuandikia kilugha hapa wekeni jukwaa lenu la kilugha ndo mmcomment kwa lugha za kwenu acheni tabia hiyo ya kubaguana si nzuri kabis hasa wewe watu8 na nduguyo Dr.zero
ulimwalangani fijo
 
tuhuma zangu hujazijibu unavamia wengine!!!
Kama unajitambua jibu maswali yangu hapo juuu siyo kubwabwaja tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…