kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
wewe watakupotosha humo????????
wewe ndo invi?
..hahahahahaa..mie picha sijampiga mtu..pia nilikua na kifaa maalumu picha ukipiga haitoki...hahahaha..halafu nilivaa ushungi..kuzipa face...ila km ziko...nitazipata tu...mambo vipi lkn..mzim wewe..naona umemiss PMKuna picha nasikia zinatembea pm za white party ha ha usnitch hauishi humu nakumbuka kipaji halisi nilikataa kunipiga picha nilijua madhara yake loo
nakulove sana mume wangu wa zamani ,nakuombea kwa mungu ubarikiwe hadi kuku wa jirani watage nyumbani kwako na wamama wote mtaani kwako wabebe mimba zako mwaka huu..heri ya mwaka mpya.nimemiss kweli arachugaUnajua nakupenda maana you make me smile! Naona umewasaidia vijana! Vizuri pia!?
naomba unirushie na mimi bwana,nasikia unatag watu picha huko pm balaa..hahahahahaa..mie picha zijampiga tu..cz nilikua na kifaa maalumu picha ukipiga haitoki...hahahaha..halafu nilivaa ushungi..kuzipa face...ila km ziko...nitazipata tu...mambo vipi lkn..mzim wewe..naona umemiss PM
..naona sasa dada angu Smile unataka cc wanisakame..sikua hata na camera..naomba unirushie na mimi bwana,nasikia unatag watu picha huko pm balaa
nakulove sana mume wangu wa zamani ,nakuombea kwa mungu ubarikiwe hadi kuku wa jirani watage nyumbani kwako na wamama wote mtaani kwako wabebe mimba zako mwaka huu..heri ya mwaka mpya.nimemiss kweli arachuga