Chitanda ajiunga na CCM

Ukombozi wa kweli kwa vyama vya upinzani tulivyonavyo haupo! Tusubariki kurudi kwa nabii , awafufuwe waasisi wa taifa hilo , labda tutaelewa tunatakiwa kuwa vipi!!
 
Alianza kulia lia anaomba msamaha... pole zako.
 
Huyo chitanda ametangulia tusubir nawengine,kwangu mm watu waaina hii bora warudi kwamafisad tujue moja kuliko kubaki kwenyechama kuvuruga.
 
Mm nimamaliza shule 1984 kiapo hicho nakisikia kwako acheni hoja dhaifu na kejeri kwenye mambo ya msingi.walioba aliapa wakat anaingia kushika uwaziri mkuu maja ya maneno yake atairinda katiba ya jamhur ya muungano pamoja na kiapo hicho bado yeye kafanikiwa kuungoza jopo la kun,goa mfumo alio utetea kwa nguvu zake zote
 
Alitumwa na amerudi hola. Kuwa ktk upinzani kunahitaji uhodari na uvumilivu. Watu nyanya kama chitanda hawawezi wameingia kama mapandikizi wa magamba. Wapishe njia watu wapite kutimiza lengo
 
Bavicha bana! Mmechanganyikiwa kamradi ka Dj kanadhoofika.
 
Huyu Mzee alikua na Binti yake yupo kweli?mzee huyu alikua NccR damu,nilishangaa kuwa Chadema,ujana wake wote alikua NCCR
 
Ugumu wa maisha unawadhalilisha sana hawa masikini wa kipato aisee .
 
Alikuwa Team Zitto sasa things fall apart, aende wapi? Jawabu ni kurudi utumwani, labda atakula ukoko.

Hongera Chitanda maana hukusubiri kufukuzwa bali ameamua kuhama mwenyewe, bosi wako bado anang'ang'ania CHADEMA japokuwa hatakiwi kabisa.
 
Wala haina haja ya kushituka maana ni njaa tu ilikuwa inamsumbua! Angekuwa mpinzani wa kweli angeenda hata CUF au NCCR Mageuzi. Lakini kurudi alikorudi ni njaa tu zimempeleka na hakina atapotea kisiasa kama baadhi ya wenzake waliowahi kuwa wapinzani maarufu lakini sasa hakuna kitu tena.Wamebaki kama wanachama wakawaida. Mfano wako wapi Akina Masumbuko Lamwai,Thomas (Ngowi) Ngawaiya, Kaboruu,Abbas Mtemvu,Dany Makanga, Tambwe Hiza, Mbaruku Msabaha, John Guninita. ???
 
Huku lindi hakuna eneo linaitwa nachinwea tutake radhi tafadhali.
 
Tulitarajia kuwa atajiunga na chama chake ambacho amekuwa akikitumikia siku nyingi. Alichokifanya ni kurudi tu baada ya kushindwa kuivuruga chadema. Bado Zitto Kabwe.........
 
Kila mwenye ufahamu wake lazima ataondoka chadema watabaki ukoo wa mtei tu.
 
Ile timu ya PM 7 ya bwn ZZK wengi si ni wa umri huo uliousema? I mean akina Mchange, yule dada wa Ubungo, yule jamaa wa Kibaha n.k! Unayajua walioyafanya lakini mkuu, everybody has his/her price tag!
 
magugu hayawezi kuchangamana na ngano,mwacheni arudi kwa waliomtuma,kabaki MM lakini naye atarudi magambani tu! chezea nguvu ya umma weye!!! huwezi kuisaliti ukabaki salama!
 
njaa imemrudisha kwa majizi.,kuliko kung'ang'ania kuvuruga chama kama zitto bora kaondoka,zitto na wewe mfate kama hela walizokupa akina mwigulu ushazifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…