Chit-chat raha jamani

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Heshima wana chit-chat,

Baada ya jana kujumuika na wanajf hasa wa jukwaa letu pendwa la chit-chat pale Kebby's Hotel nimefurahi sana.Kwa mantiki hiyo naomba kukaribishwa katika jukwaa hili maana nilikuwa mgeni wa kupita na kusoma bt since jana nimekuwa active member.

Hakika chit-chat ndo mpango mzima mana jana tumefunika mbaya.

Asanten wakuu.
 
huyu nampa wiki tu hii id itakuwa inactive chezea matipo id wewe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…