Kasema yupo kwenye mnatano
Ukweli ndo huo mkuu wengi wanatumia Internet za ofisi subiri likizo iishe warudi maofisini mtakoma masredi
Heheeee haya ngoja ninunue laini coz hata simu nilishauzaNi beep kwenye 911 au 112 au 042 nikutumie kwa M pesa kama 2500 ni
Jamaa anazuga kafulia kinoma
Heheeee haya ngoja ninunue laini coz hata simu nilishauza
Jana atakua alizimaliza Triple A, hapo ana madeni tu
Watu tuko tunanatiana ye anatuitaita huku utadhani hajui hali ya hewa leo inaruhusu kuligoff
Yeah bora kama alikula na mkewe
Jamaa anazuga kafulia kinoma
anapenda kuharibu siku za watu huyu,watu tupo tunafyongonyolana huku yeye anatuitaita
[QVUOTE=Tchort;5309853]Duh! Pole zao, kwani hakuna hata zile internet cafe
Teh mwisho wa mwaka huu kufulia lazma
Wewe unafyongolana na nani uku upo hapa Jf
Wewe unafyongolana na nani uku upo hapa Jf
Hahahahahaaaaaaaawatu na vipaji vyetu bana, nnekamata kakuku ka kienyeji hapa maeneo ya mama john na baridi ya mbeya hii raha kwelikweli,ni kufyongonyolana kwa kuruka vihunzi
We sinilikuambia sisi tuko mapumziko?
Ukiona nimepotea usihangaike kuntafuta ujue nimeshanatiana tayari
Kakamata kakuku ka kienyeji huoni anakosea spelling?Erickb52, umesema unapumzika kumbe una madeni ndio maana unajifichaficha, huyu Baba V huko mbea kakosa mtu yupo mtaani anatanga tanga tu