Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
Tupoo!!!!!!!
Wapo likizo kidogo
aaa... Kumbe mmanatiana eeh!
Kwani hilo la kuambiwa?
Unaotuona tuko mapumziko tu
Fanta orange au?
Tokea jana hadi sasa ivi mmetupiana uingapi? Karibu Masai camp tupate ile mambo zetu
Nimebadili nagonga coca painepo
Wanafanya gani huko likizo?
Nimebadili nagonga coca painepo
Nimebadili nagonga coca painepo
Internet za ofisi mkuu
Pole mkuu hata hela ya kiloba huna kufulia kubaya
Ina rangi gani mkuu!
Me, sipo hayo umeongea wewe, acha waje watakuambia kama wanatumia za office ama lah!
Kasema yupo kwenye mnatano