Wadau washanielewa...just read and read it again
Mamdenyi... Mbona hao ni wataalamu wa ala zote? Keyboard na mic
....mimi siko hivyo..mistari kote kote..
ngoja Kongosho aje hapa nione maujanja yako.
whattt...!!?
tena wapo wengi hapa wepesi kweli kwa mistari ila mmmh,
kama Asprin, Bishanga, Erickb52, Pakajimmy na wengine kibao,
kuandika kweli wapo ila uso kwa uso mmmh.